changamoto

katika maneno ambayo emetokea kutokuyapenda sana ni CHANGAMOTO. kila kukicha ni changamoto Changamoto tu, mara secta hi inachangamoto, hapa changamoto pale changamoto juzi,jana changamoto, leo changamoto kesho changamoto. lini changamotoz zitaisha. Kama kunamtu anaitwa changamoto basi nathani angejinyonga kwa sababu kila kitu ni yeye tu.

Changamoto jamani aziishi?. Au ni kukwepa uwajibikaji au kutekeleza majukumu yenu. Kama ni hinyo basi acheni kazi muwape nafasi watu wengine kuliko kusingizia changamoto tu. step down people if u cant do u r job propely.

This entry was posted in politics/siasa. Bookmark the permalink.

Leave a comment