Category Archives: politics/siasa

rushwa wizara ya ardhi.

rushwa wizara ya ardhi..

Posted in politics/siasa | Tagged , , | Leave a comment

Kwa kusema ukweli serekali ina nia nzuri kuwasaidia wananchi kurasimisha mali zao kama nyumba, viwanya na mashamba. Lakini kuna kitu wamachemsha kweli kuto angalia junsi hi kazi itatekelezeka vipi kiutendaji. Mipango mingi ya serekali ni mizuri kenye mafiles lakini ikija … Continue reading

Posted on by nipashe | Leave a comment

katika maneno ambayo emetokea kutokuyapenda sana ni CHANGAMOTO. kila kukicha ni changamoto Changamoto tu, mara secta hi inachangamoto, hapa changamoto pale changamoto juzi,jana changamoto, leo changamoto kesho changamoto. lini changamotoz zitaisha. Kama kunamtu anaitwa changamoto basi nathani angejinyonga kwa sababu … Continue reading

Posted on by nipashe | Leave a comment

raisi ni dhaifu

“udhaifu wa raisi” ni tofauti na kusema “Raisi ni dhaifu”. kwa wale wanaojua kiswahili fasaha watanisaidia kwa hili. Labda nibadilishe maneno kidogo ili tuelewane kidogo; “ujinga wa raisi” si sawa na kusema “raisi ni mjinga”. Mimi niko na ndugu Mnyika … Continue reading

Posted in politics/siasa | Tagged , , , , , | Leave a comment

budget

wakati bunge linaendelea kijadili budget inaelekea wabunge wa ccm wamepitwa na wakati na kushidwa kutetea na kuelezea kwanini budget ni nzuri kwa watanzania. wabunge wapinzani kwa upande wao wemeonyesha muelekeo nzuri wa kuhoji budget kwa hoja nzito na za maana. … Continue reading

Posted in politics/siasa | Tagged , , , , | Leave a comment