rushwa wizara ya ardhi.

Kwa kusema ukweli serekali ina nia nzuri kuwasaidia wananchi kurasimisha mali zao kama nyumba, viwanya na mashamba. Lakini kuna kitu wamachemsha kweli kuto angalia junsi hi kazi itatekelezeka vipi kiutendaji. Mipango mingi ya serekali ni mizuri kenye mafiles lakini ikija kwenye utekelezaji ni shida tupu kutokana na uelewa mdogo wa watendaji na kubwa ni rushwa.

Kupata hati miliki ni kazi kubwa sana hata ile ya kimila ni shuguli na process yote imetawaliwa na rushwa. Bila kutoa rushwa file lako litapigwa danadana mwezi baada ya mwezi mpaka miaka inaweza kupita, Wakati process kwa ufanisi wake ni ya weeks au months tops kama wananyo fanya kenya.

Hati ni kitu  muhimu kama kila mtu ananyo tambua na pili ingeepunguza sana migogoro ya ardhi ambyo imeshamili tanzania nzima.

Kwa mfano hai: Kuna hati mimi personally naifatilia wizara ya ardhi. Malipo of course ya hati unalipia sehemu husika, but baada ya hapo ndio upotevu wa muda na rushwa inaanza. maelezo ya documents zipi ziwe submitted saa nyingine yako wrong. Unaweza kuwa na power of attorney ukaambiwa hiyo inatosheleza, later on unaambiwa mbona haujaisajili wakati haukupewa hizo intructions before. Okey power of attorney imesajiliwa then another instrustion you need an affidavit?. Hapo weeks zimekata lingali ungeambiwa kwamba yote kwa wakati mmoja yangefanyika at a go na kwa week moja tu.

wakati huo huo mtu ambaye anashugulikia file lako lazima umpe kitu kidogo lasinyo kazia haiendi. Mafile mengi mku? kazi nyingi?. Mara nasubiri deed plan(ramani ya kiwanya), Ukienda kwa mchoraji kazi nyingi mku njo next week sasa utafanyaje? unachukua namba yake na kuwasiliana nae ili afanye kazi faster mekundu lazima. Haya mambo sawa kidogo sasa kwa mchapisha hati nae kitu kidogo la sinyo anasema anachapisha hati za karibu za mikoa yote subura ya miezi ni muhimu.

Bado kwa kamishina na kwa msajili sijui itakuwaje sijafika hiyo stage yet.

Kwa hali halisi mtoa rushwa na mpokeaji wote ni wavunja sheria, lakini kama wizara ingekuwa makini ingefanya jitiada ya kustreamline processes za hati miliki na kuwezesha wafanyakazi wake kufanya kazi kwa ufanisi zaidi. Hati ni kitu muhimu sana katika maisha ya sasa na haipaswi kuwa na ukiritimba wa hali hi. Hati inaweza kurevolutinize nchi kwa watu kupata access na finance, kuwa sure na umiliki wao wa mali zao na mengineo mengi. its high time the whole process to be overhauled stop wasting our time life its to short.

This entry was posted in politics/siasa. Bookmark the permalink.

Leave a comment