Tag Archives: bageti

budget

wakati bunge linaendelea kijadili budget inaelekea wabunge wa ccm wamepitwa na wakati na kushidwa kutetea na kuelezea kwanini budget ni nzuri kwa watanzania. wabunge wapinzani kwa upande wao wemeonyesha muelekeo nzuri wa kuhoji budget kwa hoja nzito na za maana. … Continue reading

Posted in politics/siasa | Tagged , , , , | Leave a comment