Tag Archives: siasa

raisi ni dhaifu

“udhaifu wa raisi” ni tofauti na kusema “Raisi ni dhaifu”. kwa wale wanaojua kiswahili fasaha watanisaidia kwa hili. Labda nibadilishe maneno kidogo ili tuelewane kidogo; “ujinga wa raisi” si sawa na kusema “raisi ni mjinga”. Mimi niko na ndugu Mnyika … Continue reading

Posted in politics/siasa | Tagged , , , , , | Leave a comment